Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

talanta doesnt have hybrid grass kwan we fala hujaona kabisa uwanja una vipara kila kona
Hiyo hybrid imeandikwa kwenye karatasi ndo wanatembea humo, kila wanachosema wana refer makaratasi na sio uhalisia, kabla haijajengwa talanta hata mm niliamini ungekuwa world class stadium, zen baadae wakabadili design, baada ya kuuona huu nikasema jirani kwisha habari yake.
 
Ndo nn sasa, nimeamini ndiyo mana wakenya mabalaa hayaishi huko kwenu, hamna heshima hata kdg, kuanzia mtoto mpk mzee kama wewe ni mwendo wa matusi tu.
Screenshot 2026-07-09 153159.png
 
Back
Top Bottom