Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Are these seats used ama ni vipi mbona zimechoka kabla havijakaliwa? Na floor imeanza kupauka kabla haija kanyangwa
hapo hakuna ata mechi moja imechezeka 😂 😂

1783705150796.png
 
Hakuna refinery kunyaland.... Ndio maana hata capital seed ambayo serikali yenu ulisema itatoa hadi Sasa bado..
Kwani ulitaka capital seed itolewe within days? Site enyewe hata bado haijaonyeshwa lakini wewe ushaanza kushikwa na baridi tayari.
 
Back
Top Bottom