Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo y Angola budget yake mboa ya kusuasu? $1.5 bln vs $700 mln? Muache kubeba empty containers na kama electrical SGR si kitu mbona mna mpango wa ku-electrify yenu?
 
again kenya isnt land locked, this challenge fits you very well mwa
mbna unaongea kwa uchungu sana,
1) SADC yote hakuna port itakayokupa cheap access to the the east zaidi ya dar"
2) Your sgr has been running for 10 years but mpaka leo doesnt make a profit
3) If tanzania sgr is slow then what about that sokimau motobike πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


and a bonus your only client also connects to tanzania SGRπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I don't expect baboon like you who have spent his entire life in the bush to know anything about parking.
 
vumilia tu, sisi hatujakwambia ukaombe kazi sehem wapiga pipe ndo upate kazi, alafu challenge unaikimbia, nmekwambia kama its way above your league useme πŸ˜‚πŸ˜‚

Btw kenya has a coast also, another challenge for you πŸ˜‚πŸ˜‚
 
sasa na wewe dont let the challenge end, when your challenged you have to respond na kama its way beyond your league unasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
if i were you saaahv ningekua nalia πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


 
na ni vile tu mnakuaga na figisu pale kwenye border, yaani ilitakiwa iwe ishagonga $1B in trade πŸ˜‚πŸ˜‚ na apo bado gesi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


btw ingekua mm nndo wewe saahv ningekua nalia

View: https://www.youtube.com/watch?v=3k0m6Rkuv9g&t=33s&pp=ygUbcnV0byBhYm91dCB0YW56YW5pYSBleHBvcnRz
 
Leta ya Arusha tuone bongolala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…