Speed ya train inategemea na rail ilivyojengwa wala sio umeme na hata mkiweka umeme speed haitazidi hiyo mliyonayo sasa maana ni design speed ya rail yenu hiyo mnayo milele.Tutaelectrify yetu na mpango.
1. Haitakuwa slow speed electric train.
2. Itakuwa na enough overhead clearance for double stacking.
View attachment 3634991