REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,707
- 11,777
Juzi nilikuwa naangaliadocumentary moja hivi ya Ethiopia, sah! Wanatumia hela nyingi sana kwenye hizi projects ilihali, Wahabeshi wana hali mbaya sana. Mpaka sasa literate yao ni below 50% na wananchi ni hohehahe wa kutupa.