Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi, Capital city of Kundustan
FB_IMG_1785135089753.jpg
FB_IMG_1785135087234.jpg
FB_IMG_1785135092118.jpg
FB_IMG_1785135095051.jpg
FB_IMG_1785135097356.jpg
FB_IMG_1785135100643.jpg
FB_IMG_1785135103585.jpg
FB_IMG_1785135106552.jpg
FB_IMG_1785135109099.jpg
 
Mnuka mavi unajua nini kuhusiana na interior.?😂😂😂 hizo lockers ni za kizungu wewe mpori mpori utajua nini kuhusu vitu hivyo.? Again huoni hiyo floor bado ni cement tu ndio iko hapo n it’s still under construction.? Angalia ceiling ilivyokaa kinyama.? Halafu linganisha na zile za Talanta mule kwene sky boxes mme install gypsum boards za kuweka nyumbani.
This interior is ugly and the floor is substandard.

1000347899.jpg
 
This interior is ugly and the floor is substandard.

View attachment 3637927
Huoni hiyo floor bado ni vumbi.? 😂😂 who told you iko ready.? Can’t you see vumbi in there. Yani juu waeke ceiling ya maana halafu chini waache hivyo.? Tuliza tako ujenzi uishe then come ulinganisha na zile domestic interiors zenu. 😂😂😂
 
Nashangaa anataka kufananisha nyumba zilizojengwa na mchanga, cement na matofali, na zile za Kibera wamejenga kwa mabati na matope
Wao wakiona tu rust kwenye mabati wanadhani ni sawa na Kibera. Noo they are not the same 😂😂
zile zao ni mbavu za mbwa! Nairobi ina nyumba za matope tangu Uhuru mpaka leo!
 
Huoni hiyo floor bado ni vumbi.? 😂😂 who told you iko ready.? Can’t you see vumbi in there. Yani juu waeke ceiling ya maana halafu chini waache hivyo.? Tuliza tako ujenzi uishe then come ulinganisha na zile domestic interiors zenu. 😂😂😂
Substandard floor, ugly interior. Look at how dull the walls are.

1000348046.jpg
 
Quality of life ya Zanzibar ni tofauti na Kisumu... Unaweza kuangalia mwenyewe huko huko ulikochukua takwimu. Angalia mtaani Zanzibar wanaishi vipi na mtaani huko Kisumu wanaishi vipi... Takwimu za mitandaoni sometimes ziko doctored.

Pia Zanzibar Iko under exploited. Wana resources nyingi sana ambazo hata waki double population wanaweza kuishi. The problem ni hizo slums tu na vile mnazidi kubanana kwa wingi eneo moja.
Magoli zishaabadilishwa. Wadanganyika bana.😂😂😂
 
Back
Top Bottom