Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You don't know how to calculate profit and loss.

Wakunyaa njaa Kali sanaa...

Unaposikia mtu anasema analaza 50k kila siku hiyo ujue ni net profit.

Kwenye vibanda vya chips ni kawaida sana kulaza hiyo 50k kila siku baada ya kutoa gharama zote na matumizi. Huku Bei ya Gunia la viazi ambalo ni kilo 100, Lina range kwenye 60k-80k.

Tena vijana wa chips za mtaani tu vibarazani barabarani wanapata hiyo 50k, acha wale ambao wameji brand kidogo ambao wanapata Hela nyingi zaidi.

Huku hata dereva wa Daladala tu analaza 50k deile na kondakta wake... Na hapo Gari inarudi ikiwa full tank na hesabu ya boss Iko pembeni 100k deile... Ndio maana mji huku umechangamkaa.
 
Mwingine ameniambia that they have uncountable buildings under construction in Dar that are above 20 floors, but now showing the picture of at least 3 of those uncountable haweziπŸ˜‚
 
Especially on informal employment. You know a teacher earning that amount and lives in a village could build a grand bungalow through a government loan. But someone selling chips in a town or city - man. These people are jokers. 🀣 🀣
 
Most of these people have never done any business. Nimeona Amarii the liker pia anaongea mambo zingine hazielewiπŸ˜‚
 
It's because Kenyans post everything online. Kila kitu mnachofanya Nairobi mnakipost kwenye internet. Easy kupata taarifa zenu
 
Especially on informal employment. You know a teacher earning that amount and lives in a village could build a grand bungalow through a government loan. But someone selling chips in a town or city - man. These people are jokers. 🀣 🀣
With their reasoning I expected everyone in Tz to be chips vendor.

For me I made peace with my businesses, today you are smiling for making XX profit, tomorrow you thinking of downsizing on employees and some privileges.
 
There's a lot of profitable things to do in Tanzania. Sio lazima kila mtu awe muuza chips
 
Uwe unaelewa umeambiwa hiyo net profit per plate na hiyo ni minimum,
Gunia la viazi maximum dar 75000 na ni kg 100 , kg moja inatoka 2 plates ila Mimi nimekuwekea 150 for sack ila kwa kawaida ilitakiwa iende 240 .
Price per plate ya chips kavu ni 2000tsh
Minimum plates 150*2000= 240,000
20 litres ya mafuta inakaanga gunia 7 au kg 700 price ya ni 100,000 kwahiyo per kg utatumia 95tsh
Umeme 3 units per hour na unaweza to minimum plate 20 per hour so per plate umeme 52 tsh
Branding ,tax rent and the like weka 700
Kumbuka hizo major costs kwenye chips .
Vitu kama tax rate hawa hulipa 250,000 per year service levy 50,000 per year .
Na most of them rent huwa ni 50,000 per month.
Nakuongezea plus kachumbari per plate hutakiwi zidisha 100 tsh .
Ila bado cost zinapunguzwa mfano badala umeme kuna majiko ya kutumia pumba ambayo ni less costly.
Na most of them hawanunui all those items in cash bali mkopo and the like.

Ambayo bado itakuwa covered kwenye hiyo miscellaneous niliyokuwekea hapo ya 700 tsh.
Mind you hapo ni chips kavu ,ila kwenye chips mayai a kg inatoa plates Tano na bado bei inakuwa 3000 tsh🀣🀣🀣🀣🀣
Nyinyi endeleeni kugoma tu

Chips vendor bongo ni tajiri na zinawatoa watu wengi , nyinyi si mnakariri brands , Tanzania tunajenga brands.
 
Tulizana ndo maana mnaambiwa bado sana kuijua bongo Tanzania
 
Most of these people have never done any business. Nimeona Amarii the liker pia anaongea mambo zingine hazielewiπŸ˜‚
Buda wengine ndo kazi zetu hizi Mimi sio mtegemea mshahara kama wewe,
Niliwahi kukupa challenge ya business licence tu ukashindwa toa 🀣🀣🀣🀣
 
Especially on informal employment. You know a teacher earning that amount and lives in a village could build a grand bungalow through a government loan. But someone selling chips in a town or city - man. These people are jokers. 🀣 🀣
Buda most government employees bado wanajishughulisha na hizi business ndogo ndogo hapo umepewa mfano tu wa chips kama mfano , vipi nikikupeleka kwenye kitimoto and the like au vipi nikikupeleka kwa waalimu wa primary walioko vijijini ambao wanamilikia au wanalima mpaka 30 acres za cashewnut au wale wa njombe wenye mashamba makubwa ya mbao.
Hivi huwa hamjiulizi kwani tanzanians wanapenda kujenga nyumba zao wenyewe ? Kwa sababu wanapata hela sana
Na sio Kila mtu lazima afanye biashara au awe muuza chips ila fursa na watu wako serious na business.
Yaan mnababaaikabna gunia moja wakati watu wanaauza mpaka 10 sacks per days za chips au 1500 plates per day na wako barabaraani tu🀣🀣🀣🀣
 
Mwingine ameniambia that they have uncountable buildings under construction in Dar that are above 20 floors, but now showing the picture of at least 3 of those uncountable haweziπŸ˜‚
Building ya 20 floors hawawezi hesabu yet nilipost jana apartment ya 32 floors akarespond na apartment yenye hata haifiki 8 floors. Yani 8 floors wanazijua lakini 20 floors is where they draw the line.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
But here, you were not talking of a government employee who frys chips as a sidehustle. You were talking about someone whose main hustle is frying chips. Unadhani utatubeba ufala kama hao mabongolala wenzako?🀣🀣🀣
You're dumber than I thought if you think a roadside vendor can sell 10 sacks of chips a day. You clearly have the brains of a Koala bear.
 
Most of these people have never done any business. Nimeona Amarii the liker pia anaongea mambo zingine hazielewiπŸ˜‚
Wewe huoni Konkodile ananiambia a roadside vendor anauza 10 sacks of potatoes worth of chips per day? These guys have zero mathematics knowledge. Does he even know many people it takes just to chop 10 sacks of potatoes into chips? These people have never done business. 🀣 🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu umeendika hapa ni upuuzi uliosoma kwenye makaratasi ambao ni tofauti na uhalisia wa ground, tena kwa mazingira ya Tz ndio usingetia hata neno.. biashara kubwa ya chakula Bongo ni chipsi mayai, kuku (hii ni Tanzania nzima ukitaka kupiga pesa nyingi fungua banda la chipsi) . Bila shaka ndio biashara ambayo hailazi mzigo ndaani.

Shida yenu nyie mafala mnajaribu kulinganisha mazingira yenu ya ufanyaji biashara na ya kwetu..

Kuhusu gharama za uendesheji unafaa ujue kwamba viazi vinazalishwa kwa wingi Tz na kuna masoko ya mazao karibu kila mtaa, achana na masoko kuna magenge ya jumla karibu kila kona kwa mfano apa Dar, usafirishaji upi sasa unaozungumzia.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Binafsi mimi nasafirisha Mbuzi kutoka Kondoa dodoma kwa 3000 - 4000 from Kondoa to Pugu Dar es Salaam. πŸ˜‚ mbuzi niliemnunua maximum 80k - 150k Tzs.

Vipi viazi vinavyouzwa mtaa wa pili kutoka eneo la biashara la muuza chipsi itamgharimu sh ngapi.? Tz nowadays biashara karibu zote in Dar for instance ni free delivery. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Yooo haujui chochote kuhusu bongo na biashara zinavyooendeshwa kaa kimya, au nitafute nikupe tips how you can make an easy money in Tz and take them to Kunyarenda kama unao mtaji wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…