concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Government employee kama mwalimu bado Wana side hustle kibao na sababu wanakopesheka ni ngumu kuwakuta kwenye business za chips ila utawakuta kwenye kilimo , maduka na kadhalika , ni wachache sana ambao wamebweteka .But here, you were not talking of a government employee who frys chips as a sidehustle. You were talking about someone whose main hustle is frying chips. Unadhani utatubeba ufala kama hao mabongolala wenzako?🤣🤣🤣
Hiyo ya chips umepewa kama example kuwa hata mtu wa chips anauwezo na wanajenga majumban yenye dhamani kubwa kuliko kwenda kukaa kwenye nyumba za kujibanana kama zenu.
Kitu inachotakiwa ujue most business unaziona hasa ndogondogo kama hardware na kadhalika na employees