Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3639116
Usikimbie ebu leta screenshot ya sehem ya maneno haya iwe Jana juzi au mwaka uliopita kuwa tunafanya importation ya simu,
Kuna ka 1,000,000 kanawasubiri๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€View attachment 3639116
Shida yako unajiingizanga kwa mijadala sii yako alafu unaanza kulialia ukiitisha proof.
Teargass anamuongelesha Traveller D wewe unaingilia ni kama kakuongelesha.
A few posts ago, nimemjibu Traveller D kuhusu my knowledge of Tanzania vs his knowledge of Kenya, pia wewe unajiingiza kwenye mjadala na makasiriko yako.
Tulia bradhee, utauliwa na makumbo. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Sio kwamba wanafunzi wanao fail competition ya chuo huku bongo huenda tu Kenya, wanafunzi hao wanaendaga pia uchina, India n.k. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwa mfano kwa wanafunzi wanaotaka kusomea udaktari pale Mhimbili kama haujapata division 1.3 au 1.4 au 1.5 hauwezi pata udahili Muhimbili. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hao huwa wanakimbilia kenya au nchi za huko ughaibuni kusoma udaktari.
 
Hauchoki kupata mapigo? Here is another one of you being proved wrong. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡
View attachment 3639118

Kumbe hata kusoma majina ni shida wapi sasa umeprove kuwa nimesema nauza mbuzi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Two people kwa ID tofauti , sasa huoni na Leo nimekuabisha tena
 
Acha tuwaoneshe kwanini Kodi dar ni kubwa sana , Leo tunajadiri biashara ndogo ya chips inavyowafanya matajiri tz.
Chips kenya labda uwe tajiri huezi zikuta mtaani, kule mtaa umejaa mayai pasua, wote wana fya mbovu si unaona ata skrepa zao zilivokonda, zipo kama znaanguka mda wowote ๐Ÿ˜‚

 

Ebu kuja utetee huu utoposoro wako , je hao ni watu sawa
 
But kupiga picha gorofa la 20 floor still under construction is where you draw the line?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Hata niki post leo, kesho utakuja tena uulize swali kama hili, so believe what you want. Nimeshawahi kupost nyumba za over 20 buildings last month ukaumia na ukaamua kubadilisha mjadala ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
 
Hawajui jinsi competition ilivyo tight. Wao wanadhani Watanzania wanakuja Kenya kusoma eti kwa sababu wanataka superior education. Entitled idiots ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hata niki post leo, kesho utakuja tena uulize swali kama hili, so believe what you want. Nimeshawahi kupost nyumba za over 20 buildings last month ukaumia na ukaamua kubadilisha mjadala ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Ulikuwa unapost nyumba za 7 floors, the highest floor you posted I think was 13๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Why should I remember the name of those Universities. Na kwa taarifa yako sio tu Kenya, hata vyuo vya India na Malaysia huwa wanakuja kujibrand.
Kwa nini nianze kukariri majina ya vyuo vya Kenya. Vinanisaidia nini ๐Ÿšฎ
So in short hakuna University ulikuja shule yenu kufanya marketing ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚.

Ni lini mtaacha uongo nyinyi?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Ni mimi ndio, mbona unaumia .? Hadi una save comments zangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hii ni wivu au ni roho mbaya.? Ukilala unaniota bila shaka. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
There's something called search engine and bookmarking, do you know how to use them?

You expected to lie to us alafu tuache kuobookmark?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Here's Traveller D saying that he was importing smartphones. Sasa leta hiyo pesa.


View attachment 3639130
Kumbe ni travelor Mimi nataka niliposema huwa nauza mbuzi kama mwenzako alivyoquote, Kumbe hata kiswahili kwenu shida๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kwa hiyo concordile na traveller ni watu sawa ,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nincompoops
 
reminds me last time namwambia mtu apa ni stage(stendi) akagoma kuamini ๐Ÿ˜‚, hajawahi kuona pedestrian section panatumika kama stage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ