Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kwamba wanafunzi wanao fail competition ya chuo huku bongo huenda tu Kenya, wanafunzi hao wanaendaga pia uchina, India n.k. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwa mfano kwa wanafunzi wanaotaka kusomea udaktari pale Mhimbili kama haujapata division 1.3 au 1.4 au 1.5 hauwezi pata udahili Muhimbili. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hao huwa wanakimbilia kenya au nchi za huko ughaibuni kusoma udaktari.
Sasa wewe mwenye hata hiyo chip hukukanyaga, tukuweke wapi among the failures?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ati wenye wamefail wanaenda Kenya, China and India. You want to tell us that Tanzanian education is so strong that failures are going to India, China and Kenya because they can't get a chance in any Tanzanian university?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
There's something called search engine and bookmarking, do you know how to use them?

You expected to lie to us alafu tuache kuobookmark?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Tell me ukilala unaniota ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Nilishawahi kusema kuhusu kuuza mbuzi humu ndani last 3 - 4 years. Search na hiyo pia. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kumbe ni travelor Mimi nataka niliposema huwa nauza mbuzi kama mwenzako alivyoquote, Kumbe hata kiswahili kwenu shida๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kwa hiyo concordile na traveller ni watu sawa ,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nincompoops
You are idiot. Unaingilia mijadalq sio zako. Wewe endelea kuomba mapicha WhatsApp.
 
uku ni westlands jameni msithan ni picha za bungoma
1785323017160.png
 
Sasa wewe mwenye hata hiyo chip hukukanyaga, tukuweke wapi among the failures?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ati wenye wamefail wanaenda Kenya, China and India. You want to tell us that Tanzanian education is so strong that failures are going to India, China and Kenya because they can't get a chance in any Tanzanian university?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unaumia kama nimekutoa kidole. Huo ndio ukweli. Hata kama huupendi.
 
Hawajui jinsi competition ilivyo tight. Wao wanadhani Watanzania wanakuja Kenya kusoma eti kwa sababu wanataka superior education. Entitled idiots ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Can I list best Universities in East Africa utuambie za Tanzania ni ngapi na za Kenya ni ngapi?
 
I have always wanted mtu ambae angerecord nyuma ya zila jengo za westlands, finally we have one ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ apa huezi amini usiku ni bus stand
1785323187304.png



Kumbe saaahv hadi mchana ni stand ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ imprvements
1785323225960.png
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unaumia kama nimekutoa kidole. Huo ndio ukweli. Hata kama huupendi.
Just answer my question please, you didn't step into any university, what level of failure should I put you if the normal failures are going to study in India, China and Kenya.๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Vyuo kibao vinajitangaza kila mwaka. Kenyans in this thread think their Universities are special ๐Ÿ˜‚
 
A first year Student is telling me that I don't know anything about Universities? Otek small๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Of course you don't. Hujui nini kinawasukuma wanafunzi wa Tanzania kusoma nje ya nchi. Huelewi kabisa
 
Kumbe hata kusoma majina ni shida wapi sasa umeprove kuwa nimesema nauza mbuzi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Two people kwa ID tofauti , sasa huoni na Leo nimekuabisha tena
Wewe ndiye uliingilia mjadala sii wako. Teargass alimjibu Traveller D wewe ukajiingiza kama vile ulijiingiza kwa mjadala wangu nikimjibu huyo huyo Samaboy. You have an esteem problem.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
You are idiot. Unaingilia mijadalq sio zako. Wewe endelea kuomba mapicha WhatsApp.

Wewe nishakuambia ni maskini na hata nusu huwezi fikia , the last time nimekuoa challenge tu ya business ukachemka , hata passport yenye muhuri mmoja ukachemka, njaa zinawasumbua, ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sasa kama bado unategemea kuwekeza kwenye saccos ndo utoke utajua biashara lini , njoo mfundishwe biashara muachane na njaa , north eastern Kenya kuna fursa kibao wachina wanaenda kuziina mmekalia kulialia njaa na ruto.
Mtaendelea kujilinganisha na tz wakati wenzenu daily wamove kwa spidi kubwa.
,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hawajui jinsi competition ilivyo tight. Wao wanadhani Watanzania wanakuja Kenya kusoma eti kwa sababu wanataka superior education. Entitled idiots ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Competition ni tight hadi wakati wakati wetu sisi kulikua na batches 5 za kuomba udahili.. kuna watu waliomba chuo mara tano, mara nne za awali hawakua wamechaguliwa. Tena kwasasa competition ndio imekua hatari sana mana watoto wengi wa siku hizi ni wasomi.
 
Back
Top Bottom