Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kote uku ni westlands



people never believe when i tell them ni stendi hii tena kubwa, in tz you are talking of Magufuli stand





 
If you can't calculate balance sheet properly, how can you know anything about business?
 
Zinahusiana na quality of education, by the way your Mbeya is not among top 50 Universities in East Africa 😂😂
Unaona ulivyo fala. Sasa Tanzania Engineers wanatoka MUST, DIT na ATC. Sisi chuo chetu hata kwenye IPT hatuhangaiki kutafuta cause taasisi nyingi zinatuamini, huwa wanakuja kwa wingi kutoa nafasi.
Tuna lecturers wa kutosha, vifaa vya kutosha na watu wanapata skills hadi chuo kinaheshimika kwa course za Engineering, why should we care kuwepo kwenye hizo list?
 
Just answer my question please, you didn't step into any university, what level of failure should I put you if the normal failures are going to study in India, China and Kenya.😂🤣🤣
Zile piche zangu za utoto unazopostigi humu zile ni TBTs nikiwa University. Hopefully wewe ni shabiki yangu mzuri tembelea ukurasa wangu wa instagram wa zamani usome locations za zile picha. 😂😂😂
 
Good engineering school should appear here. Unfortunately non from Tanzania is here😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…