concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Baada ya miaka miwili exports za Tanzania zitakuwa twice zile za Kenya.
Tanzania lazima itafikia 25bil usd ila hawa wenzetu wamestick kwenye hiyo 13 almost kwa miaka miwili sasa
Baada ya miaka miwili exports za Tanzania zitakuwa twice zile za Kenya.
mnaweka lini tena mabango ya wale protesters?challenging authority is norm .
If Mama declared such a move , then that would be the law .
Please restrain yourself from quoting things democracy . You don’t qualify in that arena.
Ndo naifanya sasa wewe tuambie cost gani imesahaulika na nyingine nyingi za vyakulaUmeaomea shule gani hio?
Vision 2050 ni uchumi wa $1TrillionBaada ya miaka miwili exports za Tanzania zitakuwa twice zile za Kenya.
Tanzania lazima itafikia 25bil usd ila hawa wenzetu wamestick kwenye hiyo 13 almost kwa miaka miwili sasa
kuna sehem ata ruto akiulizwa anaweza sema hayuko sure kama ni kenya 😂 😂El Wak Town, Northern Kenya
Towns kama hizi zimejaa huko Northern Kenya 😂😂
View attachment 3639429View attachment 3639430View attachment 3639431
Hawa ni wavivu wa fikra sanakuna sehem ata ruto akiulizwa anaweza sema hayuko sure kama ni kenya 😂 😂
una results gan za kuonyesha madame?We have different problems, na unasahau the results speak for themselves?
Kibera utaitafuta miaka saba hivi uikose.
Nyinyi endeleeni kujenga cone houses, sisi tutajengea slumdwellers their own highrise communities.
Wakenya wanaojiweza wataendelea kujisort kivyao.
All types of constructions are booming in Kenya.
Single houses ndio zinajengwa mingi kuliko ata apartments, but they're private and we don't post here.
some places are hard to explain even after watching videos 😂Hawa ni wavivu wa fikra sana
Bado sidhani ila kwanza tuone, baada ya viwanda vya upande wa mkuranga na pwani vitakapokuwa fully operational.Vision 2050 ni uchumi wa $1Trillion
Meza panga
Mukuru slum disappearing infront of our eyes.
Many of the residents are having tap water, consistent electricity, WIFI for the first time. First to implement piped gas to every unit. No need for gas cylinder for 15,000 units (close to 50,000 residents.)
Is there any estate with piped gas in Bongolala, Geuza? Geza Ulole
View: https://www.youtube.com/watch?v=C4ggBtmvDJ8
View: https://www.youtube.com/watch?v=NFQXJaodfmo
Inafika mapema sana, Hii route ya kati ndo the biggest logistic hubBado sidhani ila kwanza tuone, baada ya viwanda vya upande wa mkuranga na pwani vitakapokuwa fully operational.
Hiyo ni nyumba ya peasant TZ.Umetafuta picha za Kenya's worst houses ukapata hii.
Nimetafuta picha za Tanzania best houses nikapata hii. 😂😂
Be proud of your architecture Mr. Tandale welder.
View attachment 3639329
get some rest kidogo utazimia😂😂 What's wrong with it?
It looks like Darslum, but only better planned because I can see grids and road provisions.