Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Here is your initial post in full (including amarii’s like 👍 ) show me where you highlighted any expensesView attachment 3639570


Haoo umewekewa 500 ( profit only) kama faida kwa plate inayouzwa 2000tsh ikiwa na maana 1500 ndo expenses umeshindwa lijua Hilo?
Yaan ni sawa nikuambie nyumba inauzwa 2mil tax exclusive halafu uanze nambia sijaweka amount ya kodi

Then
 
I don't know what the argument is? Ksh 62,500 is just under Tzs 1.3m. Ni hela nyingi sana mtu kusave kwa mwezi au kwa siku? Have you heard of Edo chips? American chips? And a lot of people who run kitchens in bars(they don't own or run a bar,they specifically runs the kitchen). And I'm not talking about big bars. You guys don't know Tanzania and it's way of life. Achana na watu wanauza chips and chomachoma in general they make a lot of money.
 
Hapo amepigiwa faida ya 500 kwa mtu anayeuza sahani 100 kwa siku au gunia moja . Na kawaida kg moja inatoka sahani mbili ila wamepigia atleast 150 per sack au 100 .
Na hapo tunazungumzia watu wenye vibanda vya barabaraani tu sio kwenye bars and the like ambako huko huwa zaid.
Shida wenzetu wanaamini katika ajira na hawaamini hata muuza chomachoma anaweza ingiza zaid hata accounts wa serikali yao🤣🤣🤣🤣
 
Sasa wanategemea zile nyumba zao za uswazi zidindoke?

Nini kitadondoka hapa na huu ndio muonekano wa jiji lao nzima? 🤣🤣View attachment 3639733
Versus hiii
Ya tz all buildings zimejengwa kwa blocks baadhi tu ndo bati zimechakaa ila Nairobi 90% zimejengwa na iron sheets zikiwa zimezingukwa na marundo ya uchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…