Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Some pics from Mbeya this July πŸ”₯πŸ”₯.

By December nitawaletea picha zingine Kuna gorofa zaidi ya 15 ziko kwenye foundation.

The City is a hot construction site kama hii taarifa ya uwekezaji inavyoripoti hapa
 
Kenyans in this thread don't understand how fast Mbeya is growing
 
Did you watch Gor Mahia game?.., walahi they had some tricky one touch passes like it was a World Cup game . Very impressive by K’ogalo !
Nyinyi mmepeleka timu kamili kwasababu ndiyo michuano ya hadhi ya timu zenu, cc huku Simba, Yanga na Azam wanatumia hiyo michuano kama pre season matches, na ndiyo mana unaona wanapanga vikosi dhaifu, Yanga ndo hata kujishughulisha na hiyo michuano imegoma kabisa. Kwenye football tuliwaacha majirani.
 
sasa unamuelezea mtu hajui mpira kwanza kachezea 4 uko moroco na leo sjui ataokota 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…