Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
itakuwa watu wa malori!Hili suala kiukweli linaniuma sana, hizo kingo za barabara zilivyo nzuri halafu ******* wanazikanyaga kama wanavyotaka, kiukweli mimi ningeshauri wawakamate malofa wote wanaofanya huu utovu wa nidhamu na kuwatoza faini na kuzijenga tena hizo kingo..
kwa mfano pale airport wamepanda majani vizuri tu na yameota pakawa if azuri mno, ajabu kuna mafala wanaovuka kwa miguu wanakanyaga zile bustani bhana. Sasahivi hapatamaniki.