Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Are you celebrating this Mr. Kipelepele? And what is AMARII the Liker doing liking this kind of nonsense?

Pisi mbovu mna shida sana... Unanitaka!? Naona una sema tu kwa majina bila ku mention...

Ila Nini, Mimi sio pigo zangu hizoo... Nikaushie. Wewe komaa tu na maisha Yako magumu. Kama ndio ndoto Yako kutafuta Mbongo akulainishie maisha bhas wewe endelea tu na mishe hizo ila MIMI nimekatazwaaaaàaa!
 
😂 😂 itakua kakosa watu kwenye slums
 
apa ndo jengo letu jipya linaenda kujengwa, katikati ya mji tunapiga jengo letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…