Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

babayao255 sasa uku inapigwa na BRT, kunakua na sky skrepas na modern transport
1785782877012.png
 
Pisi mbovu mna shida sana... Unanitaka!? Naona una sema tu kwa majina bila ku mention...

Ila Nini, Mimi sio pigo zangu hizoo... Nikaushie. Wewe komaa tu na maisha Yako magumu. Kama ndio ndoto Yako kutafuta Mbongo akulainishie maisha bhas wewe endelea tu na mishe hizo ila MIMI nimekatazwaaaaàaa!
The Liker, yani wewe mtu akikutaja kitu kinakuja kwa akili yako ni ushoga? Shoga ni shoga tu kweli. 😆 😆
 
Take a break from social media, get some peace and quiet then practice deep breaths slowly, in and out.
Itakusaidia kupunguza makasiriko yasiyo na ulazima
mwanaetu anajua zaidi ya sisi wenye jengo 😂 😂
 
Back
Top Bottom