Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Nafsi inakuungua ๐๐๐ ngoja niendelee kukuumiza zaidiYani MoU ndio unaandikia paragraph kubwa hivi?๐๐๐คฃ๐คฃ
Unajua baada ya huo uwekezaji nini kitafata.? Tanga city itakua kwa speed ya ajabu in terms of infrastructure and buildings. Kwahiyo mzee wangu we jua tu tutawapiga gap ******* ikija list ya miji yenye maendeleo makubwa.
Very proud of my hometown