Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kinachoendelea unadhani Dangote atajenga Refinery hapo ukunduni.? Unadhani yeye atataka kupata hasara .? 😂😂😂 ngoja uone.
Hivi siku EACOP ikiwa hivi si wataumia sana. 😂😂😂
1786042833268.jpeg
 
Barbaric

2 weeks? Mzee umesahau matches ni za next year, hata tukitaka tunaweza kuchimbua yote tuanze upya na bado tuna mda. Ushasahau yenu bado inakaa hivi?View attachment 3644650
sasa madame unafananisha mkapa na hio takakata ya ngong 🤣 hio stadium ina kila kitu ni majani tu yamebaki unlike nyie ambao mnaanza from scratch, nkisema everything i mean imefika Gold status, meaning you can take a bus anywhere from dar na ukafika stadium bila foleni, sasa yenu ndo kwaaaanza hata meza za ndan hamna leave alone nyasi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom