stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
alitangaza ivo ili aende world bank wampe mkopo si unajua tena mzee wa kulalamikaRuto alitangaza refinery Tanga inaelekea alipata intelligence kuwa Tz ina mpango wa kujenga energy hub in Tanga sasa akaja na mpango wa ku derail hiyo deal. Maana it is strange raisi wa nchi nyingine atangaze mradi kwenye nchi nyingine bila counterpart wake kujua na sitaki kukubali kuwa Kenya hamna watu wa protocol to guide the President.