President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Wanasiasa wa kenya hawaaminiki katika dunia hii? Tangu Uhuruto waahidi World Class SGR, hatujasahau. Au wewe umesahau?Source ni Dangote mwenyewe from the interview with BBC. Si unaona vile munakuanga wajinga.