Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna hata jengo moja hapo ambalo eti ni Render tu, majengo yote hayo yapo under construction. Ingia google tafuta uhakiki, kwasababu anaebisha ni wewe wala si mimi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ulikuwa umeanza vizuri Sasa umerudi kwa story za vijiweni. Vile umelist na ukapost renders, post construction ya hizo buildings.๐Ÿ˜‚
 
1786354810883.png
1786354835070.png
 
They say a picture speaks a thousand words. If you can't prove those claims in a simple picture, then you better shut up your smelly mouth
Jamaa amekubali kupost renders lakini posting the construction progress is where he draws the line๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Wanuka mavi bhana wameomba list ya majemgo yenye yako na 20 floors yanayojengwa Dar, yamepostiwa wanaomba tena picha za site ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Kuchanganyikiwa huku.
In short hakuna building ya 20 floor inajengwa Dar? Now post the construction progress.
 
Hakuna hata jengo moja hapo ambalo eti ni Render tu, majengo yote hayo yapo under construction. Ingia google tafuta uhakiki, kwasababu anaebisha ni wewe wala si mimi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

N those are just 5 buildings you asked me to post .. ninazo kibao hapa kwenye gallery yangu nakusubiri tu useme SU. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nikunyooshe.

Ulikuwa umeanza vizuri Sasa umerudi kwa story za vijiweni. Vile umelist na ukapost renders, post construction ya hizo buildings.๐Ÿ˜‚
Hii discussion ulianzisha wewe sio mimi bwana kibera walker. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Pitia juu hapo usome.. huo ni mwanzo tu. Nangoja useme SU. nikukimbize ukalale na homa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Why are your international home games zinachezwa Malawi na nyie mko na stadia?
Umeona home games sisi tunacheza nje ya nchi yetu?

"Harambee Stars' upcoming qualifier against Burundi will be played in Lilongwe, Malawi, due to the lack of suitable football stadiums in Kenya"
Read more: https://www.tuko.co.ke/sports/footb...s-play-world-cup-qualifiers-home-game-malawi/
Is this 2026?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Hii discussion ulianzisha wewe sio mimi bwana kibera walker. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Pitia juu hapo usome.. huo ni mwanzo tu. Nangoja useme SU. nikukimbize ukalale na homa. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unikimbize na render Tano wakati Mimi Nina 48 towers under construction? Wewe kichwa Chalo Kiko Sawa ama ni mbilikimo Kama mwili?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unikimbize na render Tano wakati Mimi Nina 48 towers under construction? Wewe kichwa Chalo Kiko Sawa ama ni mbilikimo Kama mwili?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Maandishi ya mtu anaetaka kulia ninayajua. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ usiomie kaka, zoea Dar. Ulidhani mnajenga nyie tu eeh.?
 
Back
Top Bottom