Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna influencer wa kumzidi Bertin hapo kunya renda nzima. Mnuka mdomo mwenye confidence unachekesha. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kibera walker alijaribu lakini akazima sigara. πŸ˜‚πŸ˜‚ NairobiWalker ni influencer wa bei ya jioni, maskini tu mmoja aliejaribu kujitutumua. Bertin amesafiri karibu nchi zote za Sub Sahara Africa.

Sasa mnuka mdomo kama wewe sijui unajiia umuhimu gani,
 
I shoot videos for fun, not as a career. I've been busy with other things the past one year that's why I haven't been shooting. Wewe post majengo wachana na vlogging wakati hata bei ya quality camera hujui.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ntakupost videos zako za ticktock fala wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kila siku napata recommendation za kuku follow nakausha.

Ulijaribu ukashindwa n you were not doing it for fun. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nimeziona videos zako mingi tu nikaishia kukucheka.
 
Go ahead and post post them. Meanwhile, Ebu post majengo yako ya Upanga, huu mchezo wa escapism tunaujua.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimekwambia mambo ni polepole. Utasoma number.
Next
1. 1870 West Tower 1 - 37 Floors
2. 1870 West Tower 2 - 37 Floors
3. Royal Vistaa Tower 1 - 30 floors
4. Royal Vistaal Tower 2 - 30 floors
5. Brookside Oak Residency - 27 floor
6. Golden Hill - 21 floors
Kawaida render na site

View: https://www.instagram.com/reel/DVLQGdkip0g/?igsh=MTQwZDd2ajczenI0bQ==
 
What are the chances that this Bertin fellow is Traxtion πŸ˜‚πŸ˜‚
Just another Bongolala committing genocide on the queen's language on YouTube, in a failed attempt to put make up and lipstick on the Pig that is Dar vumbi. πŸ˜‚
Does Bertin look like a First Year University Student studying in Mbeya Region? Your way of reasoning is so funny
 
Una mention Bertin kama upo level nae moja. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inafurahisha sana confidence ya wanuka mdomo walala njaa wa kikunya.
Kwani who is Bertin? The same guy that when he comes to Kenya move around walking like an Antelope cause he can't afford to hire a private car to move around? The same guy that always lives in Zimmerman and Lucky Summer when he comes to Kenya?
 
Namba zza. Kuongeza kiukweli battle itanishinda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reminds me of how you had to delete screenshot of your phone very fast ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani who is Bertin? The same guy that when he comes to Kenya move around walking like an Antelope cause he can't afford to hire a private car to move around? The same guy that always lives in Zimmerman and Lucky Summer when he comes to Kenya?
Watu wa kijijini na bloggers wapi na wapi budaa.? Huezi elewa I think you shud focus on treating wounds. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Achilia watoto wa mjini hio maneno bhana. U can’t understand nothing bhana.
 
Namba zza. Kuongeza kiukweli battle itanishinda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Asante kwa kuinua mikono.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wacha nikupe la mwisho, ukitaka niendelee nitaendelea.
1. 1870 West Tower 1 - 37 Floors
2. 1870 West Tower 2 - 37 Floors
3. Royal Vistaa Tower 1 - 30 floors
4. Royal Vistaal Tower 2 - 30 floors
5. Brookside Oak Residency - 27 floor
6. Golden Hill - 21 floors
7. Montbleu - 30 floors
Render na site

Watu wa kijijini na bloggers wapi na wapi budaa.? Huezi elewa I think you shud focus on treating wounds. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Achilia watoto wa mjini hio maneno bhana. U can’t understand nothing bhana.
So mtu WA kijiji ni Nani Kati yangu na wewe? Hujui tofauti ya Vlogger and blogger yet unajifanya mjuaji.

Wewe utabaki mshamba milele.
 
By the way si Jamaa wa supposed to share the pictures of 32 buildings under construction that Bertin said was being built? Kuzipata zimemshinda?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…