Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Mtu wa murima kijijini boy unachekesha 😂😂😂So mtu WA kijiji ni Nani Kati yangu na wewe? Hujui tofauti ya Vlogger and blogger yet unajifanya mjuaji.
Wewe utabaki mshamba milele.
Bertin is doing both blogging and vlogging.
Kwani kizungu ulijifunza wapi uende wakupe ada yako.? 😂😂😂