Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We know his Ushamba game … since this is just testing phase , once the lighting system is fully restored, he will move on like nothing happened just like his grass tantrums…Umeona amehepa sasa mambo ya grass . That’s how he operates. He looks for incomplete projects or under construction in Kenya and use the aesthetic as his weapon. He’s that primitive.
BTW kuna mtu anahepa zaidi yako apa 🤣

View: https://x.com/ntvkenya/status/2067842311728640459?s=20
 
1786972320458.png

Salary tuu ni shida mpaka mkopo ndio itakuwa SGR hadi hela ya kununua chakula huwa wanakopa hao. Ukiona serikali inaanza kuhangaika na vitu vidogovidogo kama salary, bei ya unga mkate ujue uchumi tia maji tia maji
 
ni aibu mpaka leo nchi inakopa kulipa salary
 
Back
Top Bottom