Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa wa kuumia nan apo, those are available in most stadiums in the region
View attachment 3652186
Tanzania nzima hakuna uwanja iko na LED advertising boards kwenye stands kule juu. Ata suluhisho kule msituni haina
1786981407583.png
1786981389198.png
 
Mara ooh VAR iko wapi? Mara sijui goal-line technology iko wapi? Sijui eti hybrid pitch iko wapi? Mara ooh tuonyeshe foldable seats 😄😄

What these Nyamwezis don't understand is that this is a process and everything comes at the right time.

Oneni sasa we are getting ready for hybrid grass stitching!
FB_IMG_1787030389074.jpg
 

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2026567843123495321 hii ilikua feb,serikali itafanya jambo la kijinga sana kuiunganisha kenya kwenye hii project,kwanza wao wameshindwa kuiendeleza project yao now wanataka kudandia project za wenzao!

Kenya itaunganishwa kwenye old meter gauge only ila kwenye SGR sidhani maana mifumo ya control ni tofauti kabisa na pia diesel trains infrastructural requirements kama refueling hatuna hizo provisions huku kwetu. Hivyo itakuwa challenge sana ku manage Kenyan trains on Tanzanian rails.
 
Back
Top Bottom