Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We fala kwel, kuna mtu kasema ujenzi umeanza? si umeuliza location
Nyamwezi, angalia kitu kilaza mwenzako alisema baada ya NairobiWalker kupost picha ya ujenzi wa NNS Twin Towers Nairobi with tye caption: Tallest building in east and central Africa.

Out of jealously, this is what he said πŸ‘‡
Hii issue ya Render tulimalizana nayo jana. Hakuna upcoming building in east africa ndefu zaidi ya TRA hq Building

Kama mnajua hilo jumba is still in proposal stage and its render still gathering dust somewhere na bado hata haijulikani kama litajengwa, why are you then comparing it with a building that's already under construction? What's the logic here?

To make matters even worse, he claims it will be taller than NSSF twin Towers at 162 meters (40 floors)πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Does he know how tall NSSF twin towers will be?
 
we nae bogus unataka to compare na yalioanguka ama
 
By the way majority of all Peter wenye najua ni scammers. No wonder hata @babayao255pia ni scammer.

Unaitwaje Peter surely?🀣🀣🀣
It's coz wnapita na watu 🀣🀣🀣
 
At least they knew where to invest their hard earned money. Not some glorified fishing village that would have given them losses. Case study: Avic Town 🀣🀣🀣
which losses? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ umaona kuna jengo lolote apo la mchina? au ushawahi kuona wap mapato ya sky skrepa ya nchi yanabebwa na nchi ingine kama sio mathare πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…