Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If you couldn't buy a few housing units hapo Avic Town why are you even talking about skyscrapers? Why are you overestimating your ability?🤣🤣

Ever heard of cutting your coat according to your height?
usilie sasa skrepas zinatafautiana
1787778694857.png
 
Avic, the owners of GTC Nairobi, built a gated community called Avic Town hapo Dar slum ambayo imebaki mahame hadi leo. Mifukara wa mwisho 🤣🤣

Alafu unashangaa why they chose to build the towers in Nairobi! 😄😄
He has proven time and time again, brains ain’t his strong suit so he can’t think that far …🤣🤣🤣🤣
 
Yeah. Peter aka pita na pesa za watu😂😂🤣
Kumbe “Peter” is hidden figure of speach..🤣🤣🤣
Ati Alipita na pesa za wenyewe …🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bro!.. just stop it .. you cracked me up pro max…😆😆😆
 
Kumbe “Peter” is hidden figure of speach..🤣🤣🤣
Ati Alipita na pesa za wenyewe …🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bro!.. just stop it .. you cracked me up pro max…😆😆😆
By the way the guy is a scammer. Hata wewe usipochunga atapeter na pesa zako.
 
Nimepost bank statement ya moja kati ya account yangu (ya 8 month) na ameshindwa kupost yake amehamisha magoli. 😂😂😂
Baada ya miezi kadhaa atakuja kubadilisha magoli kuwa mimi ndo sijapost.
dogo fukara uyo, kelele nyingi ila kuna uwezekano jamaa anakaa ata kwenye slums 😂
 
Back
Top Bottom