Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si nimekutajia hizo kumi ni gani? Ama unataka nikumbushe tena?😂🤣🤣😂
nenda sasa kamtajia AI kule
1787909679269.png

1787909688546.png
 
Kama Kasarani haina Hadhi then no Stadium in Tanzania can't even qualify for training sessions 🤣🤣😂
Uwanja pekee wa football kwa hapa East and Central Africa upo Tanzania, unaitwa Fumba stadium, talanta sio uwanja wa football pekee, na ndiyo mana utalazimika kuona wachezaji kwa mbaaaliiii kama viwanja vingi vya ki Africa.
 
Ebu tuonyeshe picha ya hiyo Talanta Stadium unaongelea, cause it seems we might be talking about different stadiums🤣🤣😂
 
Ni Uganda ama Tanzania? Please tell us one Venue that will host AFCON opening game🤣🤣😂.
si tushakwambia we are backing Uganda, ama unadhan we are selfish? President anataka iwe tanzania ila kwenye kikao tumesema we are backing Uganda and thats all needed 2 votes are only needed 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom