stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
the whole AFCON opening match ndo mlango wa kila kitu, na pia na nchi yako inacheza pia everyone on earth is watching, motsepe anatamani iwe bongo but tunaenda kwa voting, uganda pia anataka na kwakua tuna ukaribu zaidi na Uganda we voted for them, however finals ndo bado 😂😂😂😂 and whats funny ni huenda ikachezeka zenjiUganda atapewa Finale...
Unajua opening ndio mashindano yenyewe. Ukiboronga hapo ndio unaharibu mashindano yote. Sasa kwa uzoefu wa kuandaa na vibes la mashabiki, miundombinu na factors zote bhas Tanzania inakamata nafasi ya juu kuliko wengine.