Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we fala nn, umeona wana ushamba kama wenu, watu wana hybrid mwaka wa nne unadhan wana kaushamba kama kenu, or did you see uganda's bragging wheninstalling HYBRID? na wanayo mda mrefu 😂 😂 😂
Mm kuna muda huwa nawashangaa sn hawa jamaa, unajua pale Amani stadium wameanza kutumia hybrid grass mda mrefu, wao wanaongea leo, au walitaka kipindi zinawekwa tuanze kutupia humu kama wao walivyo washamba??
 
Uganda installed their hybrid last year. Hiyo ndio muda mrefu? Tanzania has no hybrid grass, kama iko tuonyeshe ikiwekwa😂😂🤣
lets say yes they installed last year, umewaona wana kelele mtandaoni 😂😂😂😂 infact washaanza kuchezesha mechi za champions league already 😂😂😂😂😂😂😂 meanwhile kuna watu waliambiwa liverpool na manu wanakuja kucheza apo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
What are these? Naona ushaanza kuwa confused kama Jana😂😂🤣
sasa si ndo kazi yake according to online hazina uhusianona fibre 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Endelea kuji console na picha za mbali lkn umenielewa.
Endelea kuji console na picha za mbali lkn umenielewa.

🤣🤣🤣
Hebu tuonyeshe hiyo nafasi kubwa iliyobaki between the terraces na playing surface that yiu claim exists
FB_IMG_1787682352323.jpg
FB_IMG_1785750968615.jpg
1000373007.jpg
FB_IMG_1786252185224.jpg
 
lets say yes they installed last year, umewaona wana kelele mtandaoni 😂😂😂😂 infact washaanza kuchezesha mechi za champions league already 😂😂😂😂😂😂😂 meanwhile kuna watu waliambiwa liverpool na manu wanakuja kucheza apo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ebu tuonyeshe washacheza hapo ya CAF champions league 😂😂🤣
 
sasa si ndo kazi yake according to online hazina uhusianona fibre 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kama haina uhusiano then why can't you use it in your Stadiums?😂😂🤣🤣
 
ni next week tu apo i think kitara will be playing there
Umesema washacheza champions league, so meaning you have been lying around?😂😂🤣.

Please note that you are dealing with analyst. I analyse every word you say and every picture you post. You will hate engaging me forever 😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom