Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 708
- 1,188
Ss kwani uongo kwamba tulianza? Ni kweli kwamba tulianza sisi kuwa na uwanja modern mkubwa (Mkapa), tulianza kutumia hybrid grass technology (Amani), na ukizungumzia football stadium ni sisi ndiyo wa kwanza kabla yenu (Fumba stadium). Talanta ni multi purpose stadium sio ya soccer pekee.Wanafosi tufanane. They built a stadium that fans will view action one kilometer away and now they're trying to force the same analogy on Talanta.
We also built a stadium with hybrid playing surface now they're claiming they also have one while in real sense hawana. Very desperate creatures