Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa mm kosa langu lipi? harambee loosers si wametumia namboole for years as home stadium and infact has been the most useless timu ina miaka 8 haijawahi kushiriki AFCON even CHAN yenyewe ni kwa kupewa HOST 😭😂😂😂
Harambee Stars has wins at AFCON, your country has never gotten any win at AFCON since time immemorial.
 
we havent got a win? 😂😂 group stages tuliingia kwa kuimba nn
Ngoja mamako atoke sokoni mpingane naye, Mimi ntakumaliza😂😂🤣👇👇

1000384380.jpg
 
Mbna nyie pia hamkuingia group stages bila kushinda 😂😂😂 nlisahau huna ela hata ya kulipia AI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimekuambia ngoja mamako mbishane, Mimi sitakubembeleza hapa.

1000384380.jpg
 
Sasa group stage ni AFCON? 🤣🤣🤣
Hiyo AFCON ya 'group stage' iliandaliwa mwaka gani, na ni nchi gani ndio ilikuwa muandalizi and which countries participated in that tournament?
sasa mathare na mpira wap wap, kuna preliminary stages kama hizi ambazo mmepangwa na south africa, unashinda mechi zako unaongoza kundi ndo unaenda straight to group stages 😂😂
 
Hongereni japo hofu yangu ni kwamba slums huenda zikaongezeka maradufu, kwasababu hakuna asiyejua kwamba kenya kuna gap kubwa btw wenye nacho na wasio nacho, jiulize slum dweller gn ata afford kupanga hapo? Ni kama mnawaambia wakajenge slums kwengine, na hata kama mtawapa bure few years to come patageuka pipeline mpya. Africa sijui nani kawaroga, maskini wanahitaji watengenezewe mazingira ya kupata kazi au shughuli za kufanya ili ku improve their standard of life na siyo kuwajengea, haitasaidia.

They sold out so fast pre-construction, some are now complaining about missing out.


View: https://x.com/KenyanSays/status/2093180800204173558
 
Back
Top Bottom