Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Again upanga inayo more than 32 buildings under way and some are been proposed recently, itโ€™s my duty to find them renders and construction sites, si ndio ulikua msingi wa hii battle .? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

hebu uje hapa uniambia mipaka ya westlends, then nikwambie mipaka ya Upanga. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwasababu itโ€™s clear that you posting all the projects around Nairobi.

Halafu uongo kama huu ati a building like this is considered a twin tower. ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚View attachment 3659210hizi taarifa zinafanya unapoteza maana ya hii battle.
Hilo jengo ni twin tower na hata nikiliondoa liwe tower moja bado hujafika Thuluthi ya Westlands. Ebu post hilo jengo unalosema haliko westlands.
Unasema majengo 32 wakati umeshindwa kupost kumi pekee.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Cha kushangaza, mnasema hili hapa ni twin tower lakini hilo la Westlands mnakataa sio twin tower.
11.jpg
 
The battle of Nairobi city vs Upanga. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wewe lia mimi nikikupostia majengo.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1. 1870 West Tower 1 - 37 Floors
2. 1870 West Tower 2 - 37 Floors
3. Royal Vistaa Tower 1 - 30 floors
4. Royal Vistaal Tower 2 - 30 floors
5. Brookside Oak Residency - 27 floor
6. Golden Hill - 21 floors
7. Montbleu - 30 floors
8. SIB Bank Tower - 32 floors
9. Stellar Bay Tower - 30 floors
10. Golden Mansion - 30 floors
11. Emerald Springs Tower 1 - 30 floors
12. Emerald Springs Tower 2 - 30 floors
13. Le Mirage - 35 floors
14. Marble West - 31 floors
15. Grosvenor Residence Tower 1 - 34 floors
16. Grosvenor Residence Tower 2 - 34 floors
17. Gemini Tower 1 - 31 floors
18. Gemini Tower 2 - 28 floors
19. Skyline Residence - 30 floors
20. Mogotio Oasis Tower 1 26 Floors
21. Mogotio Oasis Tower 2 26 Floors
22. Pandora Residences 1 20 floors
23. Pandora Residences 2 20 floors
24. Pandora Residences 3 20 floors
25. Pandora Residences 4 20 floors
26. Chival Riverside - 23 floors
27. Diamond Bay - 25 floors
28. Terreno Riverside - 28 floors
29. Hephe Palace - 28 floors
30. Karuna Court - 28 floors
31. Oxford Homes 1 - 26 floors
32. Oxford Homes 2 - 26 floors
33. Morvara Apartments - 25 floors
Render na site
11.jpeg


View: https://www.tiktok.com/@morvara.serviced/video/7609263503353974037?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Lazima akujue ndio aone ufala wako? Umeshindwa kupost majengo umebaki kulalamika. Alafu unasema Nairobi vs Upanga wakati umepost majengo tisa pekee mimi nimepost majengo 32 na bado naendelea. Westlands alone has more 20+ towers than the whole of Darislum. Nikiingia Kilimani, Upperhill, South C, Pangani, Eastleight si mtalia?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Jamaa analia mipaka ya westlands na hayo majengo yote yako kwa radius y'a 1km.....to make it fair kidogo hapa naona ukifanya eastleigh vs darvumbi+mwanza+arusha+ bongolala yote๐Ÿ˜‚
 
Jamaa analia mipaka ya westlands na hayo majengo yote yako kwa radius y'a 1km.....to make it fair kidogo hapa naona ukifanya eastleigh vs darvumbi+mwanza+arusha+ bongolala yote๐Ÿ˜‚
Hawajawai ona majengo tisa yakijengwa kwa pamoja so walidhani wako na construction boom. Ameshtuka kuona hiyo boom yao sii kitu. Kumbuka Upanga is larger in area than Westalnds
 
Hilo jengo ni twin tower na hata nikiliondoa liwe tower moja bado hujafika Thuluthi ya Westlands. Ebu post hilo jengo unalosema haliko westlands.
Unasema majengo 32 wakati umeshindwa kupost kumi pekee.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Cha kushangaza, mnasema hili hapa ni twin tower lakini hilo la Westlands mnakataa sio twin tower.
View attachment 3659214
Ni wapi tushai count kama hizi ni 2 different buildings.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Acha mchezo mkuu.
 
Back
Top Bottom