President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kaka nimepiga hesabu kwa umakini sana nimepata kuwa wanazalisha 1,780 MW average.Nadhani huo ndiyo ukweli lkn hawa jamaa huwa wanazani kuongopa ndiyo itawaweka level ya juu wkt uhalisia itakuweka juu kimaandishi ila ukweli unajiongopea mwenyewe.
Hayo mengine ni propaganda tu. Wakibisha tunawaletea hesabu hapa.