ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
naona wako kimya mpaka sasa smskii Teargass wala mwaiofhawaii ngoja tuwalize tena kidogoNi kweli kabisa.
Close up,Picha ya kuonesha 100m. Unaficha nini?
Sisi huku tulishatoka mdogo wangu miaka zaidi ya 20. Asante kwa kumbukumbu hii, enzi hizo tukiona lami tulikuwa tunafurahi sana
Kaka vitu vyako ni low quality untuumiza macho
Nilikua nasemaga kuhusu watu tunaojadilinao humu ndani ni washamba tu kutoka porini. 😂😂😂. Halafu utawakuta wanakaza matako eti kiswahili ni chakwao. Msikilizeni kibera walker anavyoongea humu. 👇🏾
View: https://vt.tiktok.com/ZSV7HnhE8/.