stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
kenya inachekesha kama haukai uko 😂 😂Ukunduni ni wapumbavu kweli yaani hata Tanzania wanaweza ku-claim territory!
kenya inachekesha kama haukai uko 😂 😂Ukunduni ni wapumbavu kweli yaani hata Tanzania wanaweza ku-claim territory!
Umekuwa ukumbi wa disco😁😁
kila neighbor waliyepakana nae wana border dispute!kenya inachekesha kama haukai uko 😂 😂
au na sisi tulianzishe 😂 😂kila neighbor waliyepakana nae wana border dispute!
Conhead highway 🫣🤣🤣🤣Msije kuwaambia hapa ni Iyumbu - Dodoma watakimbia humu.
View attachment 3660130
View attachment 3660132
View attachment 3660133
vp ile diesel ya kwenda kisumuConhead highway 🫣🤣🤣🤣
Nilisema kama wewe ni mkaazi wa East Africa na umezaliwa Kenya, shukuru Mungu. Akina Geza Ulole wakajam. 😆 😆 😆