Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acheni roho mbaya wanuka mavi, kwanini mna report account zake zifungwe.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
If you're not breaking YouTube guidelines hata ukiripotiwa nothing will happen. Kama aliripotiwa na akapigwa strike then there's something he's not telling you. Ukisambaza habari za uongo utarepotiwa tu.
 
Habari gani za uongo ambazo Bertin amesambaza.? Watu wanaona huu mjadala wetu hebu wape majibu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Habari gani za uongo ambazo Bertin amesambaza.? Watu wanaona huu mjadala wetu hebu wape majibu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umeelewa post yangu kweli? Nimesema if he wasn't doing anything wrong kama kusambaza habari za uongo then there's something he is not telling you. Btw, I hope amekupea the 32 towers usianze excuses tena.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Shida itakuja pale tutakwambia ulist hizo gorofa na site zake. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Unaeza kuona kwa macho yako mawili bro.
IMG_9556.jpeg
Hii ni city center na haka ni kaeneo kadunchu tu ila unaeza ona very clear kuwa kuna green nets 3 tayari. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umeelewa post yangu kweli? Nimesema if he wasn't doing anything wrong kama kusambaza habari za uongo then there's something he is not telling you. Btw, I hope amekupea the 32 towers usianze excuses tena.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kazi ya kuleta projects za 20+ floors ni duty yangu budaa. Usijichekeshe bure. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unaeza kuona kwa macho yako mawili bro. View attachment 3661284Hii ni city center na haka ni kaeneo kadunchu tu ila unaeza ona very clear kuwa kuna green nets 3 tayari. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kwa picha naona gorofa tatu, kwa maneno utasema ziko nyingi ila nikikuuliza uzilist hutopita hizo tatu na zote tatu hazipiti ten floors.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Pale Skyscrapercity limilistiwa kuwa fifteen floors tena ni jengo lilijengwa 2014 ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Tunaongelea majengo ya sasa hivi unatuletea majengo yaliyokamilika. In fact I now want to go through you list niondoe ukora wako Traveller D
View attachment 3661296
Is this the project i posted.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hii ni project ya 2014. Mimi nimeweka project ya last year mzee. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
I find It fascinating how Tanzania copies Kenyaโ€™s trends in development โ€ฆ This apartment thingy started way back in Kenya with areas like Kilimani and kileleshwa . Then moved into Eastleigh , South B and Westlands. Now itโ€™s in every city and town .
All this time, Bongolalas were so anti apartment buildings, they called them dormitories . Thatโ€™s when the dream houses talk was at itโ€™s clรญmax .. We told them โ€œsiku moja mtafika huko โ€œ. Now that siku is here.. They canโ€™t help themselves about their new short highrises โ€ฆ
Kweli Bongolala ni Bongolala tu โ€ฆ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Website ipo kaka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nime mention website ili uende ukahakiki, huo ni mradi wa tamgu last year.
Is this the project i posted.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndio hii Website yao bradhee.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Project ilishaisha na ni 15 floors. Wewe ni muongo sana Samaboyi.
383401.png

383399.png
 
Back
Top Bottom