Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu anaongea upuuzi gani.? 😂😂😂 wanna be relevant.?
 
Kusoma unajua kaka.? 😂😂😂😂 huoni project iliyopo hapo sio nilioiweka mimi, and the post clearly states that the project you posted is completed.. 😂😂😂
Project inaitwa empire tower. Simba developers wako na Empire tower moja na ni hiyo nimepost. Weka hapa link ya hiyo empire tower yako maanake unakana yangu.😂😂
 
Project inaitwa empire tower. Simba developers wako na Empire tower moja na ni hiyo nimepost. Weka hapa link ya hiyo empire tower yako maanake unakana yangu.😂😂
Kaka kumbe kusoma tu hujui, sasa kwanini tunabishana.? 😂😂😂.. hebu nionyeshe kutoka kweme hii post yako project niliyopost mimi.👇🏾😂😂😂
Ndio hii Website yao bradhee.😂😂😂
Project ilishaisha na ni 15 floors. Wewe ni muongo sana Samaboyi.View attachment 3661299
View attachment 3661298
 
Acheni roho mbaya wanuka mavi, kwanini mna report account zake zifungwe.? 😂😂😂
Bro hakuna kitu huwauma wakunya kama kupost maendeleo ya Tanzania mitandaoni halafu usipost nchi yao.
Nina ushuhuda kupitia Facebook page yangu, imagine wanakuja kulia hadi inbox ili nipost nchi yao. 😂😂😂
Huwa nafanya kusudi napost Tanzania na nchi zingine then wao siwapost, wana vitisho vya kijinga ila huwa nawakomesha balaa.
 
😂 😂 😂 mm napenda kucrash EGO zao, because wanapenda waonekane wazungu 😂😂
 
Najiuliza sana maswali, kwanini wanatuonea wivu kiasi hawataki dunia ijue nchi yetu inafananaje.? 😂😂😂😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…