stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
na tena wanampigia kelele za wantam, unafinya vizuri ukiondoka unajua kabisa umeongeza watu kwenye slumHakika wacha mwamba apige mabovu,
Kama mzee jomo kenya alikwapua ardhi Sawa na Mkoa wa Morogoro, ardhi inayotosha wakunya milioni 20 yeye ruto ni nani asijisevie mavumba.