Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I said Red volcΓ‘nic soil .. there could be more colors …
Like saying black sand ( there is also white sand)…
What do they teach in your schools?β€¦πŸ«£πŸ€―πŸ€―
but we didnt say the whole bongo we said dar and i gave an example, you see this bungoma city 🀣🀣🀣🀣🀣


 
We will pay back for sure!
 
Kumbe na wewe ulibebwa na hizo story za vijeni kwamba alifeli shule ,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ BTW kuna president yoyote toka hii nchi ianze ashapeleka nchi kwenye trade surplus ya mauzo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha kutetea mauzauza.
Ukiachilia mbali kuwa hii historia yake ni open secret, hata yeye aliongea hili kwenye hotuba yake sema aliliweka kisanii kuwa:

"sikufabya vyema kwenye masomo yangu, primary na secondary"

Duh! unapinga mpaka ushuhuda wa muhusika!??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…