Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kutetea mauzauza.
Ukiachilia mbali kuwa hii historia yake ni open secret, hata yeye aliongea hili kwenye hotuba yake sema aliliweka kisanii kuwa:

"sikufabya vyema kwenye masomo yangu, primary na secondary"

Duh! unapinga mpaka ushuhuda wa muhusika!??😂😂😂
Hizo ni siasa za kawaida infact she graduated PHD yake some few years back, however also ata ingekua kwel kafeli sidhan kama ni issue kiasi icho, kwan wapo wengi tu hata hio phd yake hawakufika na wana mafanikio makubwa sana, wengine ata primary hawakumaliza
 
mwingereza nae kaharibu?
mwingera wap, alishasema kabisa pitch ni mbovu toka mda, jamaa mmoja alienda kumuuliza eti do you think our pitch is same standard, aliangaliwa mpaka akakosa pozi 🤣 🤣 hii ni tripu shamba gerej wiki nzima
 
Hizo ni siasa za kawaida infact she graduated PHD yake some few years back, however also ata ingekua kwel kafeli sidhan kama ni issue kiasi icho, kwan wapo wengi tu hata hio phd yake hawakufika na wana mafanikio makubwa sana, wengine ata primary hawakumaliza
PhD ametoa wapi zaidi ya hizi honorary doctorates?
Ni failure na kama failures wengine alienda India kwenye moja-mbili tatu za elimu yakuunga-unga.
 
Kumbukumbu. 😂😂😂
Nicxie sku izi amekata tamaa na ile uwanja 🤣 🤣
1788972939369.png
 
Back
Top Bottom