Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo ni siasa za kawaida infact she graduated PHD yake some few years back, however also ata ingekua kwel kafeli sidhan kama ni issue kiasi icho, kwan wapo wengi tu hata hio phd yake hawakufika na wana mafanikio makubwa sana, wengine ata primary hawakumaliza
 
mwingereza nae kaharibu?
mwingera wap, alishasema kabisa pitch ni mbovu toka mda, jamaa mmoja alienda kumuuliza eti do you think our pitch is same standard, aliangaliwa mpaka akakosa pozi 🀣 🀣 hii ni tripu shamba gerej wiki nzima
 
PhD ametoa wapi zaidi ya hizi honorary doctorates?
Ni failure na kama failures wengine alienda India kwenye moja-mbili tatu za elimu yakuunga-unga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…