Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Hii wanajenga pale pembeni karibu na round about ya mule ndani ukiwa unatoka na gari kutokea terminal 3 ipo kushoto kwenye kona kabisa.ile Parking wameweka BRT? mlango wake unakua wap, mbna itakua mwisho kuchelewa