Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Hii wanajenga pale pembeni karibu na round about ya mule ndani ukiwa unatoka na gari kutokea terminal 3 ipo kushoto kwenye kona kabisa.ile Parking wameweka BRT? mlango wake unakua wap, mbna itakua mwisho kuchelewa
pale nje si kuna kituo kingine, main roadHii wanajenga pale pembeni karibu na round about ya mule ndani ukiwa unatoka na gari kutokea terminal 3 ipo kushoto kwenye kona kabisa.
Nje kipo lakini kipo mbali kidogo mbele kidogo ya kituo cha mafuta cha puma, hili wanajenga ndani kabisa, kuna eneo la parking upande wa terminal 3 nadhani wanalibadilisha matumizi kuwa BRT terminal.pale nje si kuna kituo kingine, main road
keep us updated, bonge moja la wazoNje kipo lakini kipo mbali kidogo mbele kidogo ya kituo cha mafuta cha puma, hili wanajenga ndani kabisa, kuna eneo la parking upande wa terminal 3 nadhani wanalibadilisha matumizi kuwa BRT terminal.
Ingia YouTube, search Nyerere road (Specifically kwa Bertin)I would really love to see the drive from Mabati Rolling Mills Air port to Dar is a Slum downtown….. I can imagine Uswaziland left and right ..🤷🏾♂️🤣🤣🤣
sio kwamba hajui, mzoeeni mwaiofhawaii 🤣 🤣 🤣Ingia YouTube, search Nyerere road (Specifically kwa Bertin)
Huyo anabishanaga blindfolded.sio kwamba hajui, mzoeeni mwaiofhawaii 🤣 🤣 🤣
huyo msimseme sana maaana wamebaki wachache uku, wengi walikimbia baada ya SGR kumalizika kwahio wamebaki wachache saaahv wakina Teargass Nicxie na mwaiofhawaii ndo wamebaki wengine ndo ivo tena walishakimbia kwahio msimseme sana bila kumsahau IamLeeHuyo anabishanaga blindfolded.
Never and why would I ?.. i have the freedom of speech and expression which is well written in the constitution. Since I have taken an oath of alliegiance to the United States , I have no fear of any repurcussions unlike you who has to bend over backwards every time to protect your own life … i pity you and your kin ..not !..🤮🤮😜😆😆says USA a** kisser 🤣🤣🤣🤣
This must be your mama’s fav video .. you are so obsessed with this fake sh*t , which is as fake as your Binance crypto account …😆😆😆😆huyo msimseme sana maaana wamebaki wachache uku, wengi walikimbia baada ya SGR kumalizika kwahio wamebaki wachache saaahv wakina Teargass Nicxie na mwaiofhawaii ndo wamebaki wengine ndo ivo tena walishakimbia kwahio msimseme sana bila kumsahau IamLee
View: https://x.com/NytoP2PMwangi/status/2074902810982818124?s=20
you will heal dont worryThis must be your mama’s fav video .. you are so obsessed with this fake sh*t , which is as fake as your Binance crypto account …😆😆😆😆
fridom ovu spichi 🤣 🤣 🤣 🤣Never and why would I ?.. i have the freedom of speech and expression which is well written in the constitution. Since I have taken an oath of alliegiance to the United States , I have no fear of any repurcussions unlike you who has to bend over backwards every time to protect your own life … i pity you and your kin ..not !..🤮🤮😜😆😆
inaitwa fridom ovu spichi 🤣🤣Never and why would I ?.. i have the freedom of speech and expression which is well written in the constitution. Since I have taken an oath of alliegiance to the United States , I have no fear of any repurcussions unlike you who has to bend over backwards every time to protect your own life … i pity you and your kin ..not !..🤮🤮😜😆😆
Never and why would I ?.. i have the freedom of speech and expression which is well written in the constitution. Since I have taken an oath of alliegiance to the United States , I have no fear of any repurcussions unlike you who has to bend over backwards every time to protect your own life … i pity you and your kin ..not !..🤮🤮😜😆😆
Uliza wenzio waliofika Tz. Or just Google Nyerere road.I would really love to see the drive from Mabati Rolling Mills Air port to Dar is a Slum downtown….. I can imagine Uswaziland left and right ..🤷🏾♂️🤣🤣🤣
Mwambie pia ni 6 lane road.Tafuta videos za Bertin uone hiyo drive kutokea airport to city center. In fact ni ya unyama sana kwasababu all the way ni show rooms za magari, retail centers, industries and a lot of business complexes.
Huyu jamaa ni mshamba sana.Ingia YouTube, search Nyerere road (Specifically kwa Bertin)