Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bungome ni channel ya vichekesho 🤣🤣🤣
1789670376325.png
 
Nyie maku bandari hiyo mizigo uwa mnapeleka wapi,mbona atuoni kampuni za usafirishaji nyingi huko kwenu,TZ mtu anaagiza hadi trucks 100 kwa mkupuo na zote zinapiga kazi,dar sasa kila kona kuna kero ya ICD,mimi uwa nikitoka kibamba hadi ubungo uwa nakutana na trucks zaidi ya 50,zinazoenda na zinazorudi,mida jioni gari za IT zinazopelekwa,burundi,zimbabwe,congo,rwanda,zambia,malawi,uganda n.k,data za kupika aziwasaidii kuondoa slums au kushinda njaa nyie mabwege
View attachment 3672855
Wapishi wa data hao,
 
Even their poor farmers league hasn’t kicked off yet sababu kuna timu imeshuka daraja na haitaki kushuka daraja imeenda mahakamani,
Kenya na mpira wa miguu wapi na wapi 😆😆😆
inaitwa constitution
1789670800209.png


mpira na siasa wap wap
 
Even their poor farmers league hasn’t kicked off yet sababu kuna timu imeshuka daraja na haitaki kushuka daraja imeenda mahakamani,
Kenya na mpira wa miguu wapi na wapi 😆😆😆
and whats funny, ligi inaanza bila moja ya walalamikaji kuwepo, meaning kesi ishakua resolved watajoin mbelen 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom