Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati sisi kwetu huku NSSF imeshaanza kuingiza mshiko ndani ya miaka 10

View attachment 3675176
$50 million usd or 7.5 Billion Kenyan Shillings in over 10 years is not something to boast about.. that’s less than what moja expressway collected last year
IMG_4010.jpeg
 
Watchman naona umeamsha ujinga.
Huyo Stephen Jennings, mbona hakuleta pesa yake Dar vumbi? No one likes to be associated with LDCs.

Alafu najua hii ni beyond your education comprehension, lakini Jennings akikuuzia shamba, hakujengei pia.
There are hundreds of private and commercial investors in Tatu City.

Usizoee pesa ya madafu ukadhani kila nchi inahitaji pesa ya serikali kujenga mji mpya.

Sasa tuambue Stephen Jennings ni nani hapo Tako city
 
Back
Top Bottom