Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Halafu Remmitances is a burden kwa serikali yao ya huko Kenya. Wakenya waliopo Tanzania watalazimika kufanya kazi mara mbili na kutafuta Ksh liquidity in Tanzania kwaajili ya kubadili Tsh kwenda Ksh.

Tanzania haina liability yoyote kwenye hizo Pesa zinazotoka kwenye Tsh kwenda Ksh kwaajili ya wakenya zaidi ya kuvuna faida na kubaki na hizo Tsh.

Ngoja nikupatie namna inavyofanyika.

Mfano Mkenya Worker in Tanzania anataka kutuma Tsh 10m kwenda kwa ndugu zake kenya.
1. Atatakiwa awe na zaidi ya 10m kwenye balance yake.
2. Kuna huyo mtu wa katikati abaye kazi yake ni kutuma pesa kwenda kenya kuwa Tsh. Hapa kitu gani kinafanyika.
Huyo mtu anayetuma Pesa Kutoka Tsh kwenda Ksh lazima awe na Ksh (Inventory ya Ksh) anapokea Tsh na anatuma Ksh.
So wakenya waliopo Tanzania watatakiwa kuhakikisha invenotry ya KSh haikauki itawaka eidha wanunu share kutunisha Invetory hiyo ambayo ipo Tanzania.

3. Mtu huyo anayetuma atapokea hiyo 10m na kuibakiza kwenye mzunguko wa pesa Tanzania. Yaani ataihamisha kutoka kwa mkenya. Kisha atatuma Ksh kwenda Kenya. Kumbuka huyu ni mfanya biashara lazima atahitaji faida. Kwahiyo atapokea zaidi ya Tsh 10m kutoka kwa mkenya.

4. Kwasababu hiyo ni biashara TRA na watahitaji kodi yao hapo na anayelipa hiyo kodi ni mkenya anayefanya kazi Tanzania.

NB: Liability ya ku keep Inventory ya Ksh kuwa kubwa si ya watanzania ni ya wakenya. Itawabidi wakenya wafanya kazi kwa nguvu sana na kuwekeza kwa mtu anayetuma remittance nyumbani kwao.

Mwisho. Hizo pesa zitaenda kenya kisha zitarudi tena Tanzania kwenye Inventory ya Ksh. Huku Tanzania zitakuwa zinazalisha faida, lakini kutoka kenya zitakuja kutunisha mfuko huku mkenya akiwa anasubiri shares zipande ili auze.

Inshort Kenya itaanza kuisha kidogo kidogo kupitia remittances zinazotumwa kwao
 
Nchi ya kufukuza Waburundi! Ngoja wajaribu kutufukuza waone mbichi na mbivu!
wanakuaga wapole wakiongea kuhusu bongo, wanajua kabisa wakija apa wakileta vurugu wanapitishwa kwanza ile chemba ya kichapo alafu ndo wanarudishwa 🀣 🀣 🀣 alafu wabunge hua wanawadharau sana viongozi wa kenya
 
Can you read English? I didn't say millionaires move from rich countries to poor countries, I said people from richer countries come to poorer countries and become millionaires all the time. The fact that you can't understand such a simple context disqualifies you from earning my attention. I am not reading the rest of your hogwash.
 
Halafu utawasikia hawa mbwa humu wanasema tunawachukia si tungewapunguza warudi kwao?
There are 26,300 Kenyans in Tanzania.
There are 32,860 Tanzanians in Kenya.
You migrate to our country more than we migrate to yours but we make more money in your country than you make in ours. The difference is the kind of things our migrants do in your country and your migrants do in ours. You are lazy, unskilled and uneducated. We are smart, hardworking and educated. We come to farm, do business and work professional jobs such as engineering, teaching et al. You come to beg, sell second hand clothes, engage in small business and do low quality jobs such as house maids, watchmen et al.
 
Unavyofanania na hizi statements unazozitaja ni vitu vya kuchekesha sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mkenya mfanya kazi Tz ni yule muajiriwa wa kampuni za kenya au shule za msingi za English medium hapa Bongo. Sasa sijui huo u genius unaotueleza unatoka wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…