Hiyo issue ya remittance za Kenya KSh 1.52 billion nataka niieleze kidogo. Naruhusu kusahihishwa
Pesa iliyopatikana nchini kwa wafanyakazi wa kikenya wanaofanya kazi ni Tsh.
Sasa kuisafirisha kutoka kwenye uchumi wa Tanzania ili iende kwenye uchumi wa Kenya; kwenye transfer ya pesa nje ya nchi kunahitajika settlement.
Let say Mkenya yupo na account CRDB na anataka kutuma hiyo pesa kufikia KSh 1.52 billion inatakiwa equivalent assets kutoka Kenya yenye thamani ya hiyo pesa itakayoingia kwenye uchumi wa Tanzania.
Kumbuka wakenya itabidi watupatie USD, Gold na asset abazo zinakubalika na BoT settlement.
So wakenya watafaidika na Expenditure but Tanzania itabaki na Assets.
Assets hizo zinaweza kuingizwa kwenye Nostro au Vostro Account kwaajili ya manunuzi ya bidhaa za nje.
Nipo tayari kurekebishwa