stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
btw izo ni cheap politics sku izi ndo maaana wale activist wakijaga uku wakirudi kule lazima waite media maana lazima wale kichapo kwel kwelHuyu Peter Foti Mushi ni kweli ametekwa na ni mtu namfahamu kwa ukaribu na tuko na contact na familia yao. Ila watekaji na wauwaji ni kikundi kinachofadhiliwa na foreign organization kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.
Baada ya kuwateka, watu wa kwanza kupewa habari na clips zautekaji huu ni hili genge la Chadema.
All in all ni kundermine Tanzania, CCM na serikali zake, iliyopita na hii ya sasa.